Baada ya kukaa kimya kwa muda kidogo,lile kundi la reggae la EAST
AFRICA BASHMENT CREW likiwajumuisha wakenya wawili KEVIN WYRE na NAZIZI
na upande wa Uganda BEBE COOL.
Round hii ni soo wamekuja ni wimbo mpya uitwao CHUJA,je wewe umechuja.
CHUJA by E.A Bashment Crew huo hapo chini
No comments:
Post a Comment