World News

Thursday, July 4, 2013

Ipigie KURA nyimbo ya JANB "PRETTY GIRL"


Naomba unipigie kura ktk mashindano ya GLOBAL ROCKSTAR ambayo nyimbo yangu PRETTY GIRL-JANB FEAT OBI imeingia pia.Mshindi wa Shindano hili atapatikana mwezi September nakuibuka na kitita cha dola 10,000 pamoja na vifaa vya muziki.

 Jinsi ya kunipigia kura ni kama ifuatavyo.
 1. Sign up as Fan katika hii tovuti : https://www.global-rockstar.com/signupfan/
 2.Fungua hii link kisha LIKE, Comment ktk Nyimbo yangu PRETTY GIRL : https://www.global-rockstar.com/pretty-girl-janb-feat-obi/
 3. Share pia katika mitandao ya Facebook na Twitter ili watu kibao waone pia.

http://www.global-rockstar.com/pretty-girl-janb-feat-obi/
 
 Asanteni sana kwa sapoti wadau wangu. 
//JANB

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...