World News

Monday, July 8, 2013

Msanii Chipukizi DINA Brown Ajifungua mtoto wa Kiume..!


Mwanadada anayechipukia vizuri ktk game ya BongoFleva DINA Brown amejifungua mtoto wa kiume hivi majuzi ktk hospitali ya Amana jijini Dsm.

Akiongea na Makavu Blog DINA amesema amejifungua kwa Operesheni siku ya Ijumaa mtoto wa kiume ambaye tayari amepewa jina la Gervas sambamba na jina la babu yake.

Dina, alikaa kimya sana tangu aliporekodi nyimbo zake kadhaa kutoka na hali ya ujauzito aliyokuwa nayo, ila soon baada ya uzazi huo anatarajia kurudi mzigoni na Kuachia tena nyimbo yake mpya inayoitwa "Nimempata"

Blogu ya Makavu inawatakia Afya njema

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...