World News

Monday, July 1, 2013

Msanii SALU B apata mtoto wa Kiume anaitwa "Christiano"

Mkali wa miondoko ya Ragga na BongoFleva Salu B wiki iliyoishia jana alipata mtoto wake wa kwanza kutoka kwa mpenzi wake wa muda mrefu jijini Dar.

Salu B ambaye pia ni co-producer wa Emotion Records aliiambia Makavu blog kuwa ana furaha sana kwa kuwa ameanzia yumbani kiumeni na amempatiana mwanaye huyu jina la CHRISTIANO

Makavu Blog, inampongeza Salu B na kumuombea kheri mtoto Christiano, Mungu amkuze ktk mema na kumjalia afya tele. Amin!

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...