World News

Thursday, July 25, 2013

New Sound; NEY LEE - Nipe Muda


Habari zenu kaka/dada/wadau wa muziki wa bongoflava.
 Napenda mimi Ney Lee baada ya kutoa wimbo na video yangu ya Umekwenda, hii leo pia napenda kuwajulisha nimetoa wimbo wangu mpya unaitwa "Nipe muda" produced by Mswaki, imeandikwa na kuibwa na mimi mwenyewe. Asante kwa kusoma na kusikiliza.No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...