World News

Wednesday, August 28, 2013

MON G Kuachia nyimbo mpya "TRUE LOVE"

Msanii MON G anatarajia kuachia nyimbo yake nyingine mpya inayoitwa TRUE LOVE hivi karibuni, huku akiwa amemshirikisha mkali toka kitambo JOSLIN


Mzigo umetengenezwa ktk Studio za Plexity Record chini ya Prodyuza mahiri anayejulikana kwa jina la ZEST ambaye ametengeneza ngoma kibao kali zikiwemo Tungi na Misosi ya Bwana Misosi, Mara mia ya Dullayo, ngoma ya NeyLee na nyingine nyingi........

Kabla ya "True Love", Mon G tayari ana nyimbo inaitwa "Badilika" akimshirikisha P the MC ambayo bado inafanya poa ktk vituo mbalimbali vya redio huku Video yake ikiwa ukingoni kutoka!

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...