World News

Thursday, August 1, 2013

Nando was planning to invest on Entertainment!

NANDO Mshiriki aliyekuwa akifanya vizuri sana ktk jumba la BBA na kutolewa kutokana na kuvunja sheria za mjengoni amesema Kama angeupata ule mkwanja US$ 300,000 angewekeza ktk Entertainment......

Akiongea ktk KIpindi cha XXL ya Redio Clouds Fm alipofanya interview na B12, Adam Mchomvu pamoja na Dj Fetty Nando alifungua na kuelezea mambo mengi juu yake na jinsi alivyoicheza game. msikilize kwa kubofya hapa chini;

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...