Thursday, August 29, 2013

New Sound; WARAWARA NA MPIRA ft. Henry

Ngoma inaitwa WaraWara na Mpira (Mr Lover), wimbo mpya wa G-nako akiwa amemshirikisha Henry,toka Wakwetu Jazz Vibe, Kazi ikiwa ni pishi la studio mbili, Noizmekah Arusha kwa Defxtro pamoja na B records kwa Chizan Brain,
download HAPA ,kwa mawasiliano/Mahojiano/Bookings check na Gnako kupitia +255 715 593 041 powered by www.vmgarica.com
-----------
G-nako ft Henry-WaraWara na Mpira http://goo.gl/6hTwFy

No comments:

Post a Comment