World News

Friday, August 2, 2013

Prodyuza KISAKA amefiwa na BABA yake Mzazi

 Prodyuza mahiri wa muziki wa Tanzania Michael KISAKA amefiwa na baba yake mzazi leo asubuhi, Blog ya Makavu imehabarishwa kuwa msiba huo umetokea baada ya baba Mch. Mzee MBWAMBO kuugua kwa muda.  Msiba upo nyumbani kwa marehemu Kiwalani.

Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MCHUNGAJI MBWAMBO MAHALI PEMA PEPONI.
AMINA!


Blog ya Makuvu kwa niaba ya wadau wote wa sanaa tunakupa POLE nyingi sana Prodyuza Kisaka na familia nzima ya Mzee MBwambo Mungu awatie Nguvu ktk kipindi hiki kigumu! Tuko Pamoja!

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...