World News

Wednesday, August 14, 2013

Shantiver ft. CBH - "LEO"


Anaitwa Shantiver akimshirikisha CBH katika wimbo wake mpya uliofanyika katika studio za NK Production chini ya Producer ChrisTone The Melody. Video imefanyika katika kampuni ya MAC MEDIA chini ya Director Abass Adam. 

Shantiver ameongezea kwakutanguliza shukrani zake kwa media zote zitakazo ipokea kazi yake hii mpya kwa mikono miwili nabila kumsahau CBH kwa mchango wake mkubwa aliouonyesha katika wimbo huu.

 Shantiver nimsanii mpya alie namalengo makubwa yakuupeleka mziki huu katika level zingine. Ameomba support kutoka kwa wananchi katika kazi zake zote. 

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...