Saturday, September 28, 2013

Haji Ramadhani ajibu Diss ya Ney wa Mitego....

Baada ya Ney wa mitego kumdisi Haji Ramadhani kwenye wimbo wake mpya unaojulikana kwa jina la Salam zao ambapo alisema "Haji Ramadhani kachoka yupo Gizani",
Haji sasa anasema hajafuria na anaishukuru BSS na huu ni wimbo wake mpya aliofanya chini ya stodio za Jaraman Record iliyopo kinondoni na video chini ya Apex Video by Pablo.

 Haji anapenda kuwafahamisha mashabiki wake kua wakae mkao wa kula kwa sasa anaandaa Movi yake ya kwanza ambapo nimoja ya kuonesha uwezo wake kwenye upande wa kuigiza. 

Nashukuru mungu Video yangu ina wiki moja mpaka sasa na inafanya vizuri kwenye Tv stesheni za Tanzania na nnje pia.

No comments:

Post a Comment