World News

Monday, September 23, 2013

Tumempata Miss Tanzania "Kichwa".............

MISS TANZANIA 2013: Happiness Watimanywa ametwaa taji la Redds Miss Tanzania 2013/14 katika shindano lililofanyika Mlimani City, Dar es salaam na kumrithi Brigitte Alfred. Miss Tanzania huyu ni 'kichwa' i mean ana akili sana ukilinganisha na wale waliopita, lets keep our finger close n hope fo the Best from her.........
 Mrembo amekabidhiwa zawadi ya gari aina ya IST na TSh 8 milioni, huku Latifah Mohammed na Clara Bayo pembeni wakichukua nafasi ya pili na ya tatu respectively...
2010; Mkurugenzi wa ukaguzi wa shule za sekondari nchini na kaima kamishna Wizara ya Elimu na Mafunzo ya ufundi Mrs. Wasena akitoa hotuba ya kumpongeza Happiness Watimanywa kwa kufanya vizuri katika mitihani yake ambapo mrembo huyu aliongoza kwa kufanya vizuri katika shule 150 duniani za mtandao wa IGCSE, Happiness alikuwa akisoma katika shule ya Saint Constantines International School ya Arusha.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...