Mheshimiwa kiwete amefika msibani akiongozana na mkewe hapo
kutoa pole kwa familia hiyo kwa kuondokewa na Balozi Sepetu ambaye hapo
alishawahi kushika nyadhifa mbalimbali kwenye serikali nchini ikiwemo
ya kuwa waziri wa mambo ya nje kwenye miaka ya sabini (70) kabla ya
kuwa balozi wa urusi kwenye kipindi cha miaka ya 80. Mungu ailaze roho
ya marehemu mahali pema peponi.
No comments:
Post a Comment