Thursday, November 7, 2013

Barua kwa Mama RmX

Mwanadada Anapita akishirikiana na rappers BouNako & Moplus anadrop "Barua Kwa Mama" REMIX, mkono toka pande za Noizmekah Studios Arusha, Download/Sikiliza HAPA na kwa mahojiano/mawasiliano na mwanadada Anapita check nae kupitia FACEBOOK FanPage yake, Powered by www.vmgafrica.com
--
Anapita ft BouNako & Moplus-Barua kwa Mama RMX http://goo.gl/iCFuU8

No comments:

Post a Comment