Thursday, November 28, 2013

New Sound; "BLACK WOMAN" Kutoka River Camp Soldiers

Wimbo "Black Woman" toka kwa Msanii Young Omega toka River Camp Soldiers,ikiwa ni kazi toka Noizmekah Production Studios akiwa amemshirikisha Defxtro kwa Chorus, Pata kuisikiliza/Download HAPA na kwa mawasiliano zaidi check na Young Omega kwa nambari +255 754 310 909 powered by www.vmgafrica.com

No comments:

Post a Comment