Safu ya viongozi wapya wa chama cha waandishi wa habari za michezo TASWA wakiwa katika picha ya pamoja |
Katibu mkuu wa TASWA akipongezana na Mwenyekiti wake Juma Pito kulia ni Grecy Hoka |
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini ambaye pia ni mwanachama wa TASWA Rajabu Mhamila 'Super D' akipiga kura wakati wa uchaguzi mkuu wa chama hicho |
Mjumbe mpya wa TASWA Reule Nyaulawa big Boss wa Times FM akiwa na mhariri wa michezo wa gazeti la Majira Selemana Mbuguni |
Karatasi za kupigia kula zikitahalishwa |
Peter Mwenda akipanga mapipa ya kutumbukizia kula |
No comments:
Post a Comment