Pages

Tuesday, March 4, 2014

HONGERENI VIONGOZI WAPYA 'TASWA'


Safu ya viongozi wapya wa chama cha waandishi wa habari za michezo TASWA wakiwa katika picha ya pamoja
Katibu mkuu wa TASWA akipongezana na Mwenyekiti wake Juma Pito kulia ni Grecy Hoka
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini ambaye pia ni mwanachama wa TASWA Rajabu Mhamila 'Super D' akipiga kura wakati wa uchaguzi mkuu wa chama hicho
Mjumbe mpya wa TASWA Reule Nyaulawa big Boss wa Times FM akiwa na mhariri wa michezo wa gazeti la Majira Selemana Mbuguni

Karatasi za kupigia kula zikitahalishwa

Peter Mwenda akipanga mapipa ya kutumbukizia kula


No comments:

Post a Comment