Monday, March 3, 2014

JOZZ D "AMEDATA"

Reggae/Dancehall artist "Jozz D" akiwakilisha vema Arusha anakuja na wimbo "Amedata" ikiwa ni OFFICIAL RELEASE, brand new afropop category toka Noizmekah Studios Arusha chini ya Defxtro, Bofya HAPA kuisikiliza/kudownload na kwa mawasiliano/mahojiano zaidi check na Jozz D kwa nambari +255 763 851 714 powered by www.vmgafrica.com
--
Jozz D-Amedata (NOIZ) http://goo.gl/2t4MkV

No comments:

Post a Comment