Wednesday, August 6, 2014

Salamu za sikukuu ya NaNe Nane kutoka FFU!

Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band yenye makao yake  kule Ujerumani,inatoa salam maalumu za sikuu ya nane nane kwa wadau wote walio nyumbani Tanzania na nje.
 
 
 Sikuu kuu ya nane nane ambayo mwaka huu 2014 inafanyika kitaifa mkoani Lindi.
 Kikosi cha Ngoma Africa band aka FFU ughaibuni kinawatakia kila la heri na baraka katika Nane Nane oyeeee!!!!
 
Usikose kupata burudani at http://www.ngoma-africa.com 

No comments:

Post a Comment