Bondia
maarufu wa kike mwafrika barani ulaya Bintou Yawa Schmill,mkazi wa
Ujerumani siku ya ijumaa 26.September 2014 alifanikiwa kuchukua taji la
ubingwa wa ngumi za kulipwa unatambuliwa na IBF,Bondia Bintou alimpiga
na kumshinda mpinzani wake bondia Mirjana Vujic kwa
K.O katika raundi ya 3,. Pambano hilo lilionyeshwa Live katika TV
channel ya euro sport na ktazamwa na maelfu ya watu wakishuhudia bondia
wa kike mwafrika akirusha ngumi kali kuliko radu.
Bintou
Schmill (30) aka The Voice ameshapigana mapambao ya kulipwa 9 na
ameshinda 8 kwa K.O,Katika pambano la Ijumaa 26.September 2014
liliofanyika kwenye ukumbi wa Stadthalle/ Saalbau
Frankfurt-Nied,lifanikiwa kumpa wakati mgumu mpinzani wake kuanzia
round ya kwanza hadi ilipofika raund 3 bondia Mirjana Vujickatika alipigwa kwa KO na Bintou Schmill aka "The Voice" kutangazwa ndie bingwa mpya wa uzito wa Welterweight barani ulaya na kuvikwa mkanda huo unatambuliwa na
IBF.Bintou Schmill aka 'The Voice' anaye fananishwa na Simba
Jike (Bintou is the Lioness),Simba ambaye ukimuona mpishe njia ulingoni.
Bintou "The Voice" Schmill sasa kapania kuweka rekodi ya kuwachapa
wapinzania wake kila kona duniani !
Mengi kuhusu bondia Bintou Schmill aka 'The Voice" usikose at For more information write to
http://www.facebook.com/ schmillbintou but first all visit the lion queen on http://www.bintouschmill. de/ also http://www.twitter. com/schmillbintou
No comments:
Post a Comment