Msanii Tabia Mwanjelwa mwenye gitaa akiwa na wasanii wenzie jukwaani Koloni Ujerumani siku za nyuma!
Tamasha litafanyika mjini Koloni,Ujerumani 8 November 2014
Wasanii
wanaotaka kushiriki katika katamasha la kongamano la wasanii wa
Tanzania na afrika mashariki linalotarajiwa kufanyika mjini
Kolon, Ujermani siku ya 8 November 2014 mnaombwa mjiandikishe kwa
kuwasiliana katika namba ya simu +49(0)15778645623
.
Tamasha hili linania ya kutangaza sanaa za maonyesho za Tanzania
nchini ujerumani,wasanii wa ngoma za asili,Sarakasi,Maigizo, Muziki n.k
mnakaribishwa kujiandikisha kushiriki Tamasha hili ,Wasanii mnaombwa
mtumie nafasi hii kuonyesha vipaji vyenu
katika uwanja wa kimataifa ili kujitangaza zaidi.
No comments:
Post a Comment