niaje niaje good people?najua nimepotea kwa mda kidogo hapa,nilikua
nakimbizana tu na kuweka mambo sawa kidogo, narudi kwa kuanzia na vijana
wa Kijenge juu utengwani HardcroniX likiwa ni kundi linaloundwa na
Black Spear ambaye kadondoka verse ya kwana na K Doo ambaye kafunga kwa
verse ya pili,,,hapa wakiwa na Ordinally wa Jambo Squad wanakwambia
"Mselaa" wakiwa wanaelezea namna msela wa kweli anatakiwa kuwa...
Sikiliza/Download Mselaa hapa; https://mkito.com//song/mselaa-hardcronix-ft-ordinallygrandmaster/2912
Song Credits:
Song; Mselaa
Artists; HardcroniX ft Ordinally
Producer;John Blass(John B)
Studio; Grandmaster Records
Kwa mawasiliano/Interviews check na K Doo hapa; +255755168533
No comments:
Post a Comment