Wednesday, November 12, 2014

BEEMAN awashirikisha WAKALI kibao Remix ya EMBE DODO

Pata wimbo mpya wa kijana wa kitananzania Beeman akiwa ameshirikiana na wasanii wakongwe katika muziki wa bongo flavour ikiwa ni pamoja na Steve RnB, Banana Zorro,J Deal,Dullayo,Ben Pol,Jordan pamoja na star wa dancehall kutoka Kenya Wyre,ngoma imetengenezwa chini ya Producer John Blass wa  Grandmaster Records Tanzania na katika ushirikiano mkubwa toka Lovechild Records

Sikiliza/Download ngoma mpya ya Beeman "Embe Dodo Remix" ft J Deal, Dullayo,Jordan,Wyre,Banana Zorro,Steve RnB na Ben Pol toka produced by John Blass hapa; https://mkito.com/song/embe-dodo-remix-beeman-ft-j-dealdullayojordanwyrebanana-zorrosteve-rnb-ben-pol/3342

Song Credits;
Song:Embe Dodo Remix
Artists: Beeman ft J Deal, Dullayo,Jordan,Wyre,Banana Zorro,Steve RnB & Ben Pol
Studio: Grandmaster Records/Lovechild Records
Producer:John Blass(John B)

No comments:

Post a Comment