Pata wimbo mpya wa kijana wa kitananzania Beeman akiwa ameshirikiana na
wasanii wakongwe katika muziki wa bongo flavour ikiwa ni pamoja na Steve
RnB, Banana Zorro,J Deal,Dullayo,Ben Pol,Jordan pamoja na star wa
dancehall kutoka Kenya Wyre,ngoma imetengenezwa chini ya Producer John
Blass wa Grandmaster Records Tanzania na katika ushirikiano mkubwa toka
Lovechild Records
Sikiliza/Download ngoma mpya ya Beeman "Embe Dodo Remix" ft J Deal,
Dullayo,Jordan,Wyre,Banana Zorro,Steve RnB na Ben Pol toka produced by
John Blass hapa; https://mkito.com/song/embe-dodo-remix-beeman-ft-j-dealdullayojordanwyrebanana-zorrosteve-rnb-ben-pol/3342
Song Credits;
Song:Embe Dodo Remix
Artists: Beeman ft J Deal, Dullayo,Jordan,Wyre,Banana Zorro,Steve RnB & Ben Pol
Studio: Grandmaster Records/Lovechild Records
Producer:John Blass(John B)
No comments:
Post a Comment