World News

Wednesday, November 26, 2014

FOREVER ya Jide aliyomshirikisha mdogo wake Dabo

Hii ndio single mpya ya Lady Jaydee  aliyomshirikisha Dabo inayoitwa "Forever". Hii ni baada ya Kimya cha muda mrefu kidogo na siku ya Ijumaa ndio itakuwa official video launch day pale M.O.G bar & Restaurant. Wimbo umetayarishwa na producer mahiri Man Water wa Combination Sounds, na video ya wimbo huo imefanywa na muongozaji mkongwe Adam Juma wa Next Level.


Instagram: @jidejaydee @dabomtanzania
Twitter: @jidejaydee @dabomtanzania

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...