Tuesday, December 2, 2014

Mr. EBBO AENZIWA LEO TUKIWA TUNAKUMBUKA SIKU ALIPOFARIKI

Bofya HAPA http://goo.gl/6YgpAO kupakua wimbo wa Kumuenzi Ebbo kwa jina "BADO NAIMBA" toka kwa mr "KAJOLI MASAI" ikiwa ni maalum kwa kumuenzi Marehemu Mr.Ebbo kwa maana Tarehe kama ya Leo Mwezi kama huu ndipo Mr.Ebbo aliaga Dunia, Daima atakumbukwa na nyimbo zake milele zitabaki kutukumbusha mchango wake katika Tasnia ya Muziki wa Kizazi Kipya Tanzania, Kwa Mwasilano/mahojiano zaidi na Kajoli Masai check Nae kwa Nambari +255 755 497 334 powered by www.vmgafrica.com
--
Kajoli Masai-Bado Naimba http://goo.gl/6YgpAO

No comments:

Post a Comment