World News

Monday, December 1, 2014

Official Video; Wakazi - Wanawake Wa Dar (WWD)

Hii ni video mpya ya Wakazi, ambayo imetayarishwa na Hefemi wa
hefemistudios. "Wanawake wa Dar" ni single ya pili ( Sumu Ya Panya ndio
ilikuwa ya kwanza) ya kwenye album ya Wakazi inayokaribia kutoka
mwanzoni mwa mwaka 2015. Wimbo umetayarishwa na Mujwahuki huku vocals na
production za ziada zikifanywa na Lucci (Transformax) na Musketeers
(Time wreakords). Video imeshootiwa kwenye location mbili zote za Dar Es
Salaam mojawapo ikiwa High Spirit Lounge. Mavazi yakisimamiwa na
mbunifu Eskado Bird, huku Make-Up na Urembo vikifanywa na Diana wa
American Nails.


Models walioingarisha video hii wote ni watanzania na wanafahamika kama Jossie Lynn, Maggie_Vampire na Annystacia.

Wakazi anatarajia pia kuachia video nyingine mbili kwa mpigo mwezi kuu wa desemba.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...