Pages

Wednesday, December 10, 2014

PREZZO 'BILA MUNDAI'

Kichwa cha 254,Prezzo,Mr.Trendsetter,mzee wa swagg chafu,baada ya kimya cha muda kidogo, anakuja tena na ngoma yake mpya inayoitwa "Bila Mundai",ipate bila mundai kwenye mkito hapa https://mkito.com/song/bila-mundai-prezzo/6521 ,kwa mahojiano,bookings na inquiries kuhusu Prezzo call +255787276352 au andika barua pepe kwenda bookings.prezzo@gmail.com

No comments:

Post a Comment