Tanzania imezidi kung'aa pande zote za Afrika kwa mara ya pili baada ya IDRIS mshiriki wa BBA HotShots kutoka TANZANIA kushinda na kuondoka na kitita cha us$300,000 akimshinda Mnigeria TAYO ktk Finali hiyo siku ya Jana......Shindano la BigBrother Africa lilikutanisha washiriki kutoka nchi 14 barani Afrika
Wiki iliyopita msanii DIAMOND alishinda Tuzo 3 za Channel O akiwashinda wasanii wengine kutoka nchi mbalimbali Afrika
No comments:
Post a Comment