Pages

Tuesday, December 23, 2014

XMAS BONGOFLAVA BONANZA @NAVY BEACH KIGAMBONI!!!

Kigamboni Stand Up!!!
Tarehe 25 Alhamisi Sikukuu Ya Christmas !!
“NAVY BEACH” Kigamboni !!
Xmas Bongoflava Bonanza!!,Disko Toto Saa 8 mchana Mpaka Saa 12 Jioni Kwa Kiingilio Cha sh 2,000!! 
Shughuli Yenyewe Kuanzia Saa 3 Usiku!!
Linex.Mo Music,Mesen Selekta Mzee Wa “Kanyaboya” Na Roma Mkatoliki Kwenye Stage!!
Dj Steve B/Dj Skills,Dj Bulla Na Dj Masu Kwenye Decks!!
Kiingilio Sh 7,000 tu!!
Ni Hayo Tu!!

No comments:

Post a Comment