World News

Friday, May 1, 2015

'ALI KIBA' AMFUNIKA 'DIAMOND', ATAJWA WA KWANZA NA RAISI KIKWETE.......

Raisi Jakaya Kikwete anamkubali zaidi ALI KIBA na DIAMOND anafuata........ hio imedhihirika leo mchana wakati akihutubia kwa mara mwisho Wafanyakazi ktk sherehe za siku ya wafanyakazi inayoendelea huku Mwanza ktk uwanja wa CCM Kirumba

Kikwete aliimba kwa umahiri wimbo wa zamani wa King Kiki(Mimi Msafiri) "mimi msafiri niko njiani, sijui lini nitafikaaaaaaa..........." na baadae kujisifia kuwa yeye ana sauti nzuri bado km asingekuwa raisi angekuwa bongofleva mahiri na kazi zake zingenunuliwa kama Ali Kiba na Diamond....


Siku zote kitu unachokikubali zaidi hutaja cha kwanza na kingine ndio kitafuta "First mention is far most"

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...