World News

Monday, May 25, 2015

'ALI KIBA' ANAPENDWA KULIKO 'DIAMOND' BONGO

Checki list ya waliojishindia Tuzo ya Watu Bongo..........
 
Mtangazaji wa redio anayependwa- D’Jaro Arungu – TBC FM.
 
Kipindi cha redio kinachopendwa- Papaso – TBC FM.
 
Mtangazaji wa runinga anayependwa– Salim Kikeke (BBC Swahili)
 
Kipindi cha runinga kinachopendwa- Mkasi (EATV)
 
Blog/Website inayopendwa- millardayo.com
 
Muongozaji wa video anayependwa- Hanscana
 
Muongozaji wa filamu anayependwa- Vincent ‘Ray’ Kigosi
 
Muigizaji wa kike wa filamu anayependwa- Wema Sepetu
 
Muigizaji wa kiume wa filamu anayependwa- Hemedy PHD
 
Mwanamuziki wa kike anayependwa- Lady Jaydee
 
Mwanamuziki wa kiume anayependwa- Ali Kiba
 
Filamu inayopendwa- Kigodoro
 
Video ya muziki inayopendwa- ‘Nani kama Mama’– Christian Bella Feat. Ommy Dimpoz

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...