Thursday, September 3, 2015

HONGERA SANA MR. BLUE AKA BYSER

“Alhamdulilahi Mungu ni mwema sana sana… hatuna cha kumlipa zaidi ya kumuabudu kumtukuza na kumshukuru, namshukuru sana Mungu wangu na nashukuru pia mke wangu @wahyda_bysers_heart kwa kuniletea zawadi nyingine nzuri… nimepata mtoto mwingine wa kike ndugu zangu anaitwa #khairriyaaa… ahsante Mungu kwa kunipa baba na mama wa kunilea tena uzeeni…”

No comments:

Post a Comment