World News

Thursday, September 10, 2015

Msanii wa HIPHOP Arusha AZINDUA WeBsItE Yake!!!

Ni kwa mara ya kwanza kutoka Arusha rapa machachari kapuku digital ameachia hewani tovuti yake kwa sasa unaweza kupata exclusive songs kutoka kwake na pia unaweza kupata nyimbo zilizo kataliwa kwenye radio station mbali mbali.

inasemekana ni msanii wa kwanza wa hip hop kutoka Arusha kumiliki tovuti ya kulipia tofauti na wasanii waliopata mafanikio hawana.
piaunaweka uka mfollow kwenye social media zote kama kapukudigital

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...