Monday, July 18, 2016

Miss CHANG'OMBE 2016 KUSINDIKIZWA na TID & CASSIM MGANGA...JULY 22 @CDS PARK zamani TCC Club, Chang'ombe!

TID

Fainali ya shindano la Miss Chang'ombe 2016 litafanyika Ijumaa ya tarehe 22 Julai ktk ukumbi wa burudani CDS PARK Zamani TCC Club Chang'ombe, ambapo warembo 15 waliojifua vya kutosha watapanda stejini kuchuana kwa ajili ya taji hilo.
Baadhi ya washiriki miss chang'ombe


Kinyang'anyiro hicho kitasindikizwa na burudani kibao kutoka kwa wasanii mbalimbali akiwe TID Mnyama, Kassim Mganga (Tajiri wa mahaba) na mkali wa hiphop anayetumia jina la Chadogg aka Big boss.
Dogo Pepe

Pia kutakuwa na special appearance kutoka kwa Gabo Zigamba mkali wa bongo movie anayetamba vilivyo ktk medani hizo, na Host wa show nzima atakuwa Dogo Pepe 'the stand comedian'
Gabo Zigamba

Show itaanza mishale ya saa 2 za usiku na kiingilio ni Tshs. 10,000 tu... Baada ya show ya warembo kumalizika Dj Mafuvu atapiga Disko kali mpaka liamba!

No comments:

Post a Comment