World News

Tuesday, July 5, 2016

MISS CHANG'OMBE 2016 WATEMBELEA 'ZA KWETU AFRIKA' SABASABA!!


Baadhi ya washiriki katika kinyanganyiro cha Miss Chang'ombe 2016 wakimtembelea mmoja kati ya wadhamini wao 'ZA KWETU AFRIKA' ktk Viwanja vya maonyesho ya 40 ya Sabasaba yanayoendelea jijini DSM


Warembo wakijaribu baadhi ya vito vya urembo mbalimbali uliobuniwa na Mbunifu ASHA wa kampuni ya 'ZA KWETU AFRIKA


Bi ASHA SAID mbunifu wa mavazi ya ki-Afrika akiwa katikati ya warembo wa kitongoji cha Chang'ombe 2016 walipomtembelea ktk banda lake la Pride Sabasaba

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...