man utd wakiwa hawaamini walichofanywa
Yale yalioikuta Man Utd juzi pale Rome, Italia katika uwanja wa Stadio Olimpico ya kipigo cha paka mwizi yalionekana kuwafurahisha sana mashabiki wa timu nyingine pinzani za arsenal, chelsea, na liverpool.
Niliwashuhudia jamaa kibao naowajua wakiishangilia sana Barca ilipoipiga man bao 2 bila majibu na kutwaa kombe la mabingwa klabu za ulaya.
"kipigo cha paka panya wote wanafurahia"
No comments:
Post a Comment