Monday, May 25, 2009

DULLAYO ALIVYOGAWANA UMASKINI NA SIR. NATURE DA' WEST TABATA

Msanii aliezama kwa kasi kwenye bongofleva Dullayo a.k.a D-timing usiku wa kuamkia jumapili aliugawa umaskini vizuri akimsindikiza Juma Kassim 'Sir. nature' alipokua anazindua albam yake ya' Tugawane umaskini' huko pande za Dar west Tabata, Uzinduzi huo ulioandaliwa na Bongo dot home ya Times fm redio na kudhaminiwa na TIGO.
Sambamba na Dullayo Nature pia alisindikizwa na wasanii kibao akiwepo PNC,Mchizi Mox, O-Ten na wengine kibao kutoka jijini.Nature aliongozana na kundi zima la Wanaume Halisi waliofanya shoo kali iliyoweka historia ya kupagawisha wapenzi wa muziki wa kizazi kipya pale Tabata.














nature akipagawisha




















Dullayo alipigwa tafu na Xdizo kushoto ambae wako wote kwenye kundi lao jipya la makavu live!!












Pnc akiwashangwesha ma-fans wake




















D-timing akionyesha umairi wa kucheza

No comments:

Post a Comment