Inaonekana kuleta mapinduzi katika sekta ya kilimo
Walimu watajengewa nyumba za kuishi mashuleni
Wananchi wa hali ya chini watapata nafuu ya maisha
Kodi imeongezwa kwenye vitu visivyo vya lazima kwa matumizi ya binadamu, vinywaji, sigara, pombe kali bei kuwa juu.
Kampuni za madini kulipa kodi zaidi
Asasi na taasisi za kidini zafutiwa misamaha ya kodi, maaskofu na wakuu wakidini ya kikristo walaani. Waelezea kuwa hatua hiyo itawaumiza watanzania maskini.
Pichani; Waziri wa fedha na uchumi, Mustafa Mkulo akiwa na mkoba wenye bajeti ya Tanzania 2009/10
No comments:
Post a Comment