Kitaifa itafanyikia mkoani mbeya, pia popote pale ulipo kwenye vituo vya afya unaweza kwenda kuchangia damu kwa ajili ya wenzetu wanaoteseka hata wengine kufariki kwa sababu ya ukosefu wa damu mwilini;
HAYA SHIME VIJANA WENZANGU TWENDENI TUNACHANGIE DAMU BILA KUOGOPA!!!
No comments:
Post a Comment