Thursday, June 11, 2009

PRODUCER DUKE TACHEZ KUWAINUA UNDERGROUNDZ



Msanii wa zamani Duke Tachez amefungua Studio yake mpya anayoiita M'LAB (Music Laboratory) iliyopo maeneo ya Kinondoni Biafra upande wa wauza vitanda na Magodoro mkabala na Garage ya matairi. Ambapo ametoa ofa kwa Underground kurekodi wimbo mmoja kwa Laki moja na nusu tu i.e 130,000/=, ofa hii ni kwa muda wa mwezi 1 na nusu kuanzia jumatatu ya tarehe 15 mwezi wa 6 mpaka tarehe 30 ya mwezi wa saba, wahi kabla mda haujaisha!!!

No comments:

Post a Comment