Tuesday, June 9, 2009

WASANII WENGI BONGOFLEVA WAMEACHIA NYIMBO ZAO MPYA

Wasanii wengi wa muziki wa bongofleva wakongwe na wanaoanza wameachia nyimbo zao mpya kipindi hiki, baadhi yao ni km unavyowaona hapa chini, tafuta ngoma zao uckilize halafu tujue ipi kali!!

Wimbo mpya wa Wakali Kwanza Q.Jay & Makamua wakimshirikisha AY unaoitwa I Like Music, huu umetengenezwa na Producer Marco Chali.


Mkongwe Prof Jizze kamshirikisha Mez B, nyimbo mpya inaitwa ' Naahidi '

Quick Racka kutoka Mj's record kaachia ngoma yake inaitwa 'Bullet'


No comments:

Post a Comment