Miaka michache iliyopita kwenye hii game ya bongofleva kuna huyu jamaa kutoka pande za kiumeni kule TMK alitoka na dude lilikua linaitwa "Kama noma", mchizi sijui kasepea wap! alikua juu sana na ile nyimbo;
"kama noma na iwe noma sikubali leo nalivenji mimi eehee.... "
No comments:
Post a Comment