Thursday, June 4, 2009

HAPPY BIRTHDAY TID, June 02


Wadau juzi ilikua birthday ya msanii TID 'prison voice', tofauti na wa2 wengine wanavyosherehekeaga siku zao za kuzaliwa, Top In Dar yeye alifanya maulid ya siku yake hiyo.
Safi sana TID, wadau tumkumbukage Muumba katika siku za ujana wetu.

No comments:

Post a Comment