all whites
Usiku wa kuamkia leo watanzania walikua na furaha sana baada ya timu ya taifa 'taifa starz' kuwagagadua wazungu wa New Zealand ' all whites ' mabao 2 kwa 1. magoli ya starz yalifungwa na Mrisho Ngassa na Mwinyi Kazimoto.
taifa stars
Wazungu ndio waliokuwa wakwanza kupata bao kwa njia ya penati iliyopigwa na Shane Smert dakika ya 10, baada ya Shaaban Nditi kuunawa mpira akiwa katika jitahada za kuokoa.
No comments:
Post a Comment