Thursday, June 4, 2009

K-SHER, TWANGA KUNOGESHA MISS DAR CITY CENTRE JUNE 26


Baadhi ya washiriki wa Miss dar city centre watakaoshidana tarehe 26 juni kupatikana mmoja wao atakae wakilisha Miss Tanzania 2009, jumla yao mpaka leo ni 30 na wote wanaendelea vyema na mazoezi ktk ukumbi wa hotel ya Lamada, ilala DSM.


Ktk kinyang'anyilo hicho msanii wa bongofleva mwanadada 'K-sher' atawasindikiza kwa burudani walimbwende hao sambamba na bendi ya muziki wa dansi ya African starz 'Twanga pepeta'

No comments:

Post a Comment