Alitamba sana kitambo kidogo kilichopita na nyimbo iliyoitwa 'Uswhilini kuna vituko', Ismail Seif a.k.a Suma G mwanangu mwenyewe kutoka kitaa anawakilisha kundi la Hotpot family amekuja tena na ngoma kali ambayo ikipigwa hakika watu hawakai.
Dude hili limefanywa na producer mkali kutoka Mj's record Marko Chali, ukiliskiliza mdau huto kaa.
No comments:
Post a Comment