Kilichojili upande wa michezo, juzi tulishuhudia timu ya mkoa wa Ilala chini ya kocha wake Jamhuri Kihwelu 'Julio' ikiichabanga timu ya mkoa wa Temeke 'tmk' bao 1 - 0 na kutwaa ubingwa wa kombe la Taifa katika faunali iliyofanyika kwenye uwanja wa uhuru ' shamba la bibi' jijini DSM.
Pichani Juma K Juma nahodha wa timu ya mkoa wa Ilala akipokea kombe la Taifa
No comments:
Post a Comment