MELI ILIYOZAMA ZANZIBAR IMEVUTWA KIASI KUSOGEA BANDARINI
Huku bado tukiwa tumegubikwa na majonzi juu ya watanzania wenzetu waliozama na meli ya Mv Fatih, kuna habari kuwa pamoja na misukosuko wanayoipata waokoaji juu ya vyombo wanavyotumia jana, walifanikiwa kuivuta meli hio kutoka sehemu ilipopata ajali kusogea usawa wa bandari.Ila walishindwa kuendelea zaidi kutokana na harufu iliyokua ikitoka kwenye meli hio, hii inaashiria kuwa bado kuna maiti zilizofia kwenye meli.
No comments:
Post a Comment