Mwana Fa na Prof. Jay
Msanii mkali wa mziki wa kizazi kipya Mwana Fa a.k.a B, sasa anaitwa Mafia akiwa masomoni inchini Uingereza ameachia ngoma nyingine inayoitwa Nazeeka sasa akiwashirikisha wakonge ktk hii fani ambao ni Mr.II a.k.a Sugu na the heavy weight mc Profesa Jay.
Wimbo huo umetengenezwa kwenye studio ya BHITS na Producer Hermy B.
No comments:
Post a Comment